Akamwambia, Mimi nami ni nabii kama wewe, na malaika akaniambia kwa neno la BWANA, kusema, Mrudishe pamoja nawe nyumbani kwako, ale chakula, akanywe maji. Lakini alisema uongo.
Methali 12:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mdomo wa kweli utathibitishwa milele; Bali ulimi wa uongo ni wa kitambo tu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ukweli hudumu milele, lakini uongo ni wa kitambo tu. Biblia Habari Njema - BHND Ukweli hudumu milele, lakini uongo ni wa kitambo tu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ukweli hudumu milele, lakini uongo ni wa kitambo tu. Neno: Bibilia Takatifu Midomo isemayo kweli hudumu milele, bali ulimi wa uongo hudumu kwa muda mfupi tu. Neno: Maandiko Matakatifu Midomo isemayo kweli hudumu milele, bali ulimi wa uongo hudumu kwa muda mfupi tu. BIBLIA KISWAHILI Mdomo wa kweli utathibitishwa milele; Bali ulimi wa uongo ni wa kitambo tu. |
Akamwambia, Mimi nami ni nabii kama wewe, na malaika akaniambia kwa neno la BWANA, kusema, Mrudishe pamoja nawe nyumbani kwako, ale chakula, akanywe maji. Lakini alisema uongo.
Akamwambia, Je! Moyo wangu haukuenda na wewe, hapo alipogeuka yule mtu katika gari ili akulaki? Je! Huu ndio wakati wa kupokea fedha, na kupokea mavazi, na mashamba ya mizeituni, na mizabibu, na kondoo, na ng'ombe, na watumwa, na wajakazi?
Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu?
Hila imo mioyoni mwao wafikirio uovu; Bali wafanyao mashauri ya amani, kwao kuna furaha.