Methali 11:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mwenye haki huokolewa katika dhiki, Na mtu mwovu ataiingia badala yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu mnyofu huokolewa katika shida, na mwovu huingia humo badala yake. Biblia Habari Njema - BHND Mtu mnyofu huokolewa katika shida, na mwovu huingia humo badala yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu mnyofu huokolewa katika shida, na mwovu huingia humo badala yake. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, naye mtu mwovu huingia humo badala yake. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, naye mtu mwovu huingia humo badala yake. BIBLIA KISWAHILI Mwenye haki huokolewa katika dhiki, Na mtu mwovu ataiingia badala yake. |
Asiyemcha Mungu humpoteza jirani yake kwa kinywa chake; Bali wenye haki watapona kwa maarifa.
Ndipo mfalme Dario akawaandikia watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, waliokaa juu ya uso wa dunia; Amani na iongezeke kwenu.