Methali 10:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mwenye haki hataondolewa milele; Bali wasio haki hawatakaa katika nchi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waadilifu kamwe hawataondolewa nchini, lakini waovu hawatakaa katika nchi. Biblia Habari Njema - BHND Waadilifu kamwe hawataondolewa nchini, lakini waovu hawatakaa katika nchi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waadilifu kamwe hawataondolewa nchini, lakini waovu hawatakaa katika nchi. Neno: Bibilia Takatifu Kamwe wenye haki hawataondolewa, bali waovu hawatasalia katika nchi. Neno: Maandiko Matakatifu Kamwe wenye haki hawataondolewa, bali waovu hawatasalia katika nchi. BIBLIA KISWAHILI Mwenye haki hataondolewa milele; Bali wasio haki hawatakaa katika nchi. |
Asiyetoa fedha yake apate kula riba, Asiyepokea rushwa amwangamize asiye na hatia. Mtu atendaye mambo hayo Hataondoshwa milele.
Lakini Mungu atakuharibu hata milele; Atakuondolea mbali; Atakunyakua hemani mwako; Atakung'oa katika nchi ya walio hai.
Wakamwambia, Atawaangamiza vibaya wale wabaya; na shamba la mizabibu atawapangisha wakulima wengine, watakaomlipa matunda kwa wakati wake.