Mathayo 9:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini wakatoka, wakaeneza habari zake katika nchi ile yote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wao wakaondoka, wakaeneza habari za Yesu katika nchi ile yote. Biblia Habari Njema - BHND Lakini wao wakaondoka, wakaeneza habari za Yesu katika nchi ile yote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wao wakaondoka, wakaeneza habari za Yesu katika nchi ile yote. Neno: Bibilia Takatifu Lakini wao wakaenda na kueneza habari zake katika eneo lile lote. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini wao wakaenda na kueneza habari zake katika eneo lile lote. BIBLIA KISWAHILI Lakini wakatoka, wakaeneza habari zake katika nchi ile yote. |
Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno hilo likaenea kati ya Wayahudi hata leo.
Na habari zake zikaenea katika Shamu yote; wakamletea wote waliokuwa wagonjwa, walioshikwa na maradhi mbalimbali na mateso, wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.
Akawaonya wasimwambie mtu; lakini kadiri ya alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari;
Yesu akarudi kwa nguvu za Roho, akaendea Galilaya; habari zake zikaenea katika nchi zote za kandokando.
Lakini habari zake zikazidi kuenea, wakakutanika makutano mengi wamsikilize na kuponywa magonjwa yao.