Mathayo 9:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yesu Akaondoka, akamfuata, pamoja na wanafunzi wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akaondoka pamoja na wanafunzi wake, akamfuata. Biblia Habari Njema - BHND Yesu akaondoka pamoja na wanafunzi wake, akamfuata. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akaondoka pamoja na wanafunzi wake, akamfuata. Neno: Bibilia Takatifu Isa akaondoka akafuatana naye, nao wanafunzi wake pia wakaandamana naye. Neno: Maandiko Matakatifu Isa akaondoka akafuatana naye, nao wanafunzi wake pia wakaandamana naye. BIBLIA KISWAHILI Yesu Akaondoka, akamfuata, pamoja na wanafunzi wake. |
Alipokuwa akiwaambia hayo, tazama, akaja kiongozi mmoja, akamsujudia, akisema, Binti yangu sasa hivi amekufa; lakini njoo, uweke mkono wako juu yake, naye ataishi.
Na tazama, mwanamke aliyekuwa na ugonjwa wa kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili, alikuja kwa nyuma, akaugusa upindo wa vazi lake.
Yesu akawaambia, Chakula changu ndicho hiki, niyatende mapenzi yake aliyenituma, nikaimalize kazi yake.
habari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na nguvu naye akazunguka huku na huko, akitenda kazi njema na kuponya wote walioonewa na Ibilisi; kwa maana Mungu alikuwa pamoja naye.