Lisikilizeni neno la BWANA, ninyi mtetemekao kwa sababu ya neno lake; Ndugu zenu wawachukiao ninyi, waliowatupa kwa ajili ya jina langu, wamesema, Na atukuzwe BWANA, tupate kuiona furaha yenu; lakini watatahayarika.
Mathayo 7:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu; Biblia Habari Njema - BHND “Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu; Neno: Bibilia Takatifu “Usihukumu ili usije ukahukumiwa. Neno: Maandiko Matakatifu “Usihukumu ili usije ukahukumiwa. BIBLIA KISWAHILI Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi. |
Lisikilizeni neno la BWANA, ninyi mtetemekao kwa sababu ya neno lake; Ndugu zenu wawachukiao ninyi, waliowatupa kwa ajili ya jina langu, wamesema, Na atukuzwe BWANA, tupate kuiona furaha yenu; lakini watatahayarika.
Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.
Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa; msilaumu, nanyi hamtalaumiwa; sameheni, nanyi mtasamehewa.
Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.