Mathayo 4:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC ili litimie neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndivyo lilivyotimia lile neno lililosemwa kwa njia ya nabii Isaya: Biblia Habari Njema - BHND Ndivyo lilivyotimia lile neno lililosemwa kwa njia ya nabii Isaya: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndivyo lilivyotimia lile neno lililosemwa kwa njia ya nabii Isaya: Neno: Bibilia Takatifu ili kutimiza neno lililonenwa na nabii Isaya, aliposema: Neno: Maandiko Matakatifu ili kutimiza unabii wa nabii Isaya, kama alivyosema: BIBLIA KISWAHILI ili litimie neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema, |
akakaa huko hadi Herode alipokufa; ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii, akisema, Kutoka Misri nilimwita mwanangu.
akaenda, akakaa katika mji ulioitwa Nazareti; ili litimie neno lililonenwa na manabii, Ataitwa Mnazareti.
Lakini haya yote yamekuwa, ili maandiko ya manabii yatimizwe. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha, wakakimbia.
akatoka Nazareti, akaja akakaa Kapernaumu, mji ulioko pwani, mipakani mwa Zabuloni na Naftali;
Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, Njia ya bahari, ng'ambo ya Yordani, Galilaya ya mataifa,
ili litimie lile neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema, Mwenyewe aliutwaa udhaifu wetu, Na kuyachukua magonjwa yetu.
Kwa kuwa nawaambia, hayo yaliyoandikwa hayana budi kutimizwa kwangu; ya kuwa, Alihesabiwa pamoja na wahalifu. Kwa sababu yanipasayo yanao mwisho wake.
Kisha akawaambia, Hayo ndiyo maneno yangu niliyowaambia nilipokuwa ningali pamoja nanyi, ya kwamba ni lazima yatimizwe yote niliyoandikiwa katika Torati ya Musa, na katika vitabu vya Manabii na Zaburi.
Baada ya hayo Yesu, hali akijua ya kuwa yote yamekwisha kumalizika ili andiko litimizwe, akasema, Naona kiu.