Wakati uo huo wanyang'anyi wawili wakasulubiwa pamoja naye, mmoja katika mkono wake wa kulia, na mmoja katika mkono wake wa kushoto.
Mathayo 27:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.” Biblia Habari Njema - BHND Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.” Neno: Bibilia Takatifu Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake hivi: Huyu ni Isa Mfalme wa Wayahudi. Neno: Maandiko Matakatifu Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake hivi: huyu ni isa, mfalme wa wayahudi. BIBLIA KISWAHILI Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI. |
Wakati uo huo wanyang'anyi wawili wakasulubiwa pamoja naye, mmoja katika mkono wake wa kulia, na mmoja katika mkono wake wa kushoto.