Mathayo 27:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakamvua nguo, wakamvika vazi jekundu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakamvua nguo zake, wakamvika joho la rangi nyekundu. Biblia Habari Njema - BHND Wakamvua nguo zake, wakamvika joho la rangi nyekundu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakamvua nguo zake, wakamvika joho la rangi nyekundu. Neno: Bibilia Takatifu Wakamvua nguo zake na kumvika vazi la rangi nyekundu, kisha Neno: Maandiko Matakatifu Wakamvua nguo zake na kumvika vazi la rangi nyekundu, kisha BIBLIA KISWAHILI Wakamvua nguo, wakamvika vazi jekundu. |
Basi Herode akamdhalilisha, pamoja na askari wake, akamdhihaki, na kumvika mavazi mazuri; kisha akamrudisha kwa Pilato.
Akanichukua katika Roho hadi jangwani, nikaona mwanamke akiwa ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya kukufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.