Kwa maana nimemchagua ili awaamuru wanawe na vizazi vyake baada yake wadumishe njia ya BWANA, kwa kuwa wenye haki na kweli, ili BWANA naye akamtimizie Abrahamu ahadi zake.
Mathayo 25:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Vile vile na yule mwenye mbili, yeye naye akachuma nyingine mbili faida. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hali kadhalika na yule aliyekabidhiwa talanta mbili akapata faida talanta mbili. Biblia Habari Njema - BHND Hali kadhalika na yule aliyekabidhiwa talanta mbili akapata faida talanta mbili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hali kadhalika na yule aliyekabidhiwa talanta mbili akapata faida talanta mbili. Neno: Bibilia Takatifu Yule aliyepewa talanta mbili akafanya vivyo hivyo, akapata nyingine mbili zaidi. Neno: Maandiko Matakatifu Yule aliyepewa talanta mbili akafanya vivyo hivyo, akapata nyingine mbili zaidi. BIBLIA KISWAHILI Vile vile na yule mwenye mbili, yeye naye akachuma nyingine mbili faida. |
Kwa maana nimemchagua ili awaamuru wanawe na vizazi vyake baada yake wadumishe njia ya BWANA, kwa kuwa wenye haki na kweli, ili BWANA naye akamtimizie Abrahamu ahadi zake.
Naye huyo Barzilai alikuwa mzee sana, alikuwa na umri wa miaka themanini; naye amemlisha mfalme hapo alipokuwapo Mahanaimu; kwa kuwa alikuwa mtu mwenye cheo kikubwa.
Mara yule aliyepokea talanta tano akaenda, akafanya biashara nazo, akachuma faida talanta nyingine tano.
mtu mtauwa, mchaji wa Mungu, yeye na nyumba yake yote, naye alikuwa akiwapa watu sadaka nyingi, na kumwomba Mungu daima.
Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu, si kwa kadiri ya asivyo navyo.
na awe ameshuhudiwa kwa matendo mema; katika kulea watoto, kuwa mkaribishaji, kuwaosha watakatifu miguu, kuwasaidia wateswao, na kujitolea kutenda wema katika hali zote.
kila mmoja kwa kadiri alivyoipokea karama, itumieni kwa kuhudumiana; kama mawakili wema wa neema mbalimbali za Mungu.