Biblia ya mtandaoni

Matangazo


Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya




Mathayo 25:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; kila mtu kwa kadiri ya uwezo wake; akasafiri.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: Mmoja fedha talanta tano, mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: Mmoja fedha talanta tano, mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Alimpa kila mmoja kadiri ya uwezo wake: mmoja fedha talanta tano, mwingine talanta mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Mmoja akampa talanta tano, mwingine talanta mbili, na mwingine talanta moja. Kila mmoja alipewa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Mmoja akampa talanta tano, mwingine talanta mbili, na mwingine talanta moja. Kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; kila mtu kwa kadiri ya uwezo wake; akasafiri.

Tazama sura
Tafsiri zingine



Mathayo 25:15
5 Marejeleo ya Msalaba  

Alipoanza kuifanya, aliletewa mtu mmoja mwenye deni la talanta elfu kumi.


Sikilizeni mfano mwingine. Kulikuwa na mtu mwenye shamba, naye alipanda shamba la mizabibu, akalizungushia ua, akachimba shimo la shinikizo ndani yake, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri.


Na yule asiyejua, naye amefanya yastahiliyo mapigo, atapigwa kidogo. Na kila aliyepewa vingi, kwake huyo vitatakwa vingi; naye waliyemwekea amana vitu vingi, kwake huyo watataka na zaidi.


Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe.