Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo Mwana wa Adamu.
Mathayo 23:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Amin, nawaambieni, Mambo hayo yote yatakuja juu ya kizazi hiki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya. Biblia Habari Njema - BHND Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya. Neno: Bibilia Takatifu Amin, nawaambia, haya yote yatakuja kwa kizazi hiki. Neno: Maandiko Matakatifu Amin, nawaambia, haya yote yatakuja juu ya kizazi hiki. BIBLIA KISWAHILI Amin, nawaambieni, Mambo hayo yote yatakuja juu ya kizazi hiki. |
Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo Mwana wa Adamu.