Ndipo bwana wake akamwita, akamwambia, Ewe mtumwa mwovu, nilikusamehe wewe deni ile yote, uliponisihi;
Mathayo 18:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC nawe, je! Haikukupasa kumrehemu mtumwa mwenzako, kama mimi nilivyokurehemu wewe? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, haikukupasa nawe kumhurumia mtumishi mwenzako kama nilivyokuhurumia?’ Biblia Habari Njema - BHND Je, haikukupasa nawe kumhurumia mtumishi mwenzako kama nilivyokuhurumia?’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, haikukupasa nawe kumhurumia mtumishi mwenzako kama nilivyokuhurumia?’ Neno: Bibilia Takatifu Je, haikukupasa kumhurumia mtumishi mwenzako kama mimi nilivyokuhurumia wewe?’ Neno: Maandiko Matakatifu Je, haikukupasa kumhurumia mtumishi mwenzako kama mimi nilivyokuhurumia wewe?’ BIBLIA KISWAHILI nawe, je! Haikukupasa kumrehemu mtumwa mwenzako, kama mimi nilivyokurehemu wewe? |
Ndipo bwana wake akamwita, akamwambia, Ewe mtumwa mwovu, nilikusamehe wewe deni ile yote, uliponisihi;
tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma, mkasameheane kama Mungu katika Kristo alivyowasamehe ninyi.
mkichukuliana, na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake; kama Bwana alivyowasamehe ninyi, vivyo na ninyi.