Mathayo 16:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nao wanafunzi wakaenda hadi ng'ambo, wakasahau kuchukua mikate. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate. Biblia Habari Njema - BHND Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate. Neno: Bibilia Takatifu Wanafunzi wake walipofika ng’ambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate. Neno: Maandiko Matakatifu Wanafunzi wake walipofika ng’ambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate. BIBLIA KISWAHILI Nao wanafunzi wakaenda hadi ng'ambo, wakasahau kuchukua mikate. |
Kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara; wala hakitapewa ishara, isipokuwa ishara ya Yona. Akawaacha, akaenda zake.