Mathayo 15:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akamjibu, “Si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akamjibu, “Si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akamjibu, “Si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” Neno: Bibilia Takatifu Isa akajibu, “Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akajibu, “Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” BIBLIA KISWAHILI Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. |
Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
ambao ni Waisraeli, wenye kule kufanywa wana, na ule utukufu, na maagano, na kupewa torati, na ibada ya Mungu, na ahadi zake;
kwamba zamani zile mlikuwa hamna Kristo, mmefarakana na jamii ya Israeli, wageni wasio wa maagano ya ahadi ile. Mlikuwa hamna tumaini, hamna Mungu duniani.
Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya.