Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.
Mathayo 13:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Biblia Habari Njema - BHND Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Neno: Bibilia Takatifu Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” Neno: Maandiko Matakatifu Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” BIBLIA KISWAHILI Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano? |
Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.
Naye alipokuwa peke yake, wale watu waliomzunguka, na wale Kumi na Wawili, walimwuliza kuhusu ile mifano.