Kwa maana yeyote atakayeyafanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni, huyu ndiye kaka yangu, na dada yangu na mama yangu.
Mathayo 13:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Siku ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa. Biblia Habari Njema - BHND Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku hiyohiyo, Yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa. Neno: Bibilia Takatifu Siku hiyo hiyo Isa akatoka nje ya nyumba, akaketi kando ya bahari. Neno: Maandiko Matakatifu Siku iyo hiyo Isa akatoka nje ya nyumba, akaketi kando ya bahari. BIBLIA KISWAHILI Siku ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari. |
Kwa maana yeyote atakayeyafanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni, huyu ndiye kaka yangu, na dada yangu na mama yangu.
Kisha Yesu akawaaga makutano, akaingia katika nyumba; wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Tufafanulie mfano wa magugu ya shambani.
Naye alipofika nyumbani, wale vipofu walimwendea; Yesu akawaambia, Mnaamini kwamba naweza kufanya hili? Wakamwambia, Naam, Bwana.