Matendo 9:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wanafunzi wake wakamtwaa usiku wakamshusha ukutani, wakimteremsha katika kapu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wakati wa usiku wanafunzi wake walimchukua, wakamteremsha chini ndani ya kapu kubwa kwa kupitia nafasi iliyokuwako ukutani. Biblia Habari Njema - BHND Lakini wakati wa usiku wanafunzi wake walimchukua, wakamteremsha chini ndani ya kapu kubwa kwa kupitia nafasi iliyokuwako ukutani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wakati wa usiku wanafunzi wake walimchukua, wakamteremsha chini ndani ya kapu kubwa kwa kupitia nafasi iliyokuwako ukutani. Neno: Bibilia Takatifu Lakini wafuasi wake wakamchukua usiku wakamshusha akiwa ndani ya kapu kupitia mahali penye nafasi ukutani. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini wafuasi wake wakamchukua usiku wakamshusha akiwa ndani ya kapu kupitia mahali penye nafasi ukutani. BIBLIA KISWAHILI Wanafunzi wake wakamtwaa usiku wakamshusha ukutani, wakimteremsha katika kapu. |
Na wale wanafunzi, kila mtu kwa kadiri ya alivyofanikiwa, wakaazimu kupeleka msaada kwa ndugu zao waliokaa Yudea.
lakini hila yao ikajulikana na Sauli. Wakamvizia malangoni mchana na usiku wapate kumwua.
Na Sauli alipofika Yerusalemu, alijaribu kujiunga na wanafunzi, nao walikuwa wakimwogopa wote, wasisadiki ya kuwa yeye ni mwanafunzi.
nami nikateremshwa ndani ya kapu, katika dirisha la ukutani, nikaokoka katika mikono yake.
Ndipo akawashusha kwa kamba dirishani, maana nyumba yake ilikuwa katika ukuta wa mji; naye alikaa ukutani.