Matendo 7:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakati alipotupwa, binti Farao akamtwaa, akamlea awe kama mwanawe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake. Biblia Habari Njema - BHND na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake. Neno: Bibilia Takatifu Walipomweka nje mtoni, binti Farao akamchukua akamlea kama mtoto wake. Neno: Maandiko Matakatifu Waliposhindwa kumficha zaidi, wakamweka nje mtoni na binti Farao akamchukua akamtunza kama mtoto wake mwenyewe. BIBLIA KISWAHILI Wakati alipotupwa, binti Farao akamtwaa, akamlea awe kama mwanawe. |