Matendo 7:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC hata mfalme mwingine asiyemfahamu Yusufu akaanza kutawala katika Misri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri. Biblia Habari Njema - BHND Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo ‘mfalme mwingine ambaye hakufahamu habari za Yusufu akatawala Misri’. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo mfalme mwingine ambaye hakujua lolote kuhusu Yusufu akatawala Misri. BIBLIA KISWAHILI hata mfalme mwingine asiyemfahamu Yusufu akaanza kutawala katika Misri. |
Huyo akawafanyia hila kabila yetu, na kuwatenda mabaya baba zetu, akiwaamuru wawatupe watoto wao wachanga, ili wasiishi.