Nao wakamtwaa Absalomu wakamtupa katika shimo kubwa mle msituni, wakaweka juu yake rundo kubwa sana la mawe; kisha Israeli wote wakakimbia kila mtu hemani mwake.
Matendo 5:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Vijana wakaondoka, wakamtia katika sanda, wakamchukua nje, wakamzika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Vijana wakafika, wakaufunika mwili wake, wakamtoa nje, wakamzika. Biblia Habari Njema - BHND Vijana wakafika, wakaufunika mwili wake, wakamtoa nje, wakamzika. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Vijana wakafika, wakaufunika mwili wake, wakamtoa nje, wakamzika. Neno: Bibilia Takatifu Vijana wakaja, wakaufunga mwili wake sanda, wakampeleka nje kumzika. Neno: Maandiko Matakatifu Vijana wakaja, wakaufunga mwili wake sanda, wakamchukua nje kumzika. BIBLIA KISWAHILI Vijana wakaondoka, wakamtia katika sanda, wakamchukua nje, wakamzika. |
Nao wakamtwaa Absalomu wakamtupa katika shimo kubwa mle msituni, wakaweka juu yake rundo kubwa sana la mawe; kisha Israeli wote wakakimbia kila mtu hemani mwake.
Basi wakautwaa mwili wake Yesu, wakaufunga sanda ya kitani pamoja na yale manukato, kama ilivyo desturi ya Wayahudi katika kuzika.
mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi wako.