Nao wakuu wakamkasirikia Yeremia, wakampiga, wakamtia gerezani katika nyumba ya Yonathani, mwandishi; kwa maana ndiyo waliyoifanya kuwa gereza.
Matendo 5:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC wakawakamata mitume wakawaweka ndani ya gereza; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wakawatia nguvuni, wakawafunga ndani ya gereza kuu. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wakawatia nguvuni, wakawafunga ndani ya gereza kuu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wakawatia nguvuni, wakawafunga ndani ya gereza kuu. Neno: Bibilia Takatifu Wakawakamata mitume na kuwafunga gerezani. Neno: Maandiko Matakatifu Wakawakamata mitume na kuwatia gerezani. BIBLIA KISWAHILI wakawakamata mitume wakawaweka ndani ya gereza; |
Nao wakuu wakamkasirikia Yeremia, wakampiga, wakamtia gerezani katika nyumba ya Yonathani, mwandishi; kwa maana ndiyo waliyoifanya kuwa gereza.
Lakini, kabla hayo yote hayajatokea, watawakamata na kuwaudhi; watawapeleka mbele ya masinagogi, na kuwaua magerezani, mkipelekwa mbele ya wafalme na watawala kwa ajili ya jina langu.
Sauli akaliharibu kanisa, akiingia kila nyumba, na kuwaburuta wanaume na wanawake na kuwatupa gerezani.
Wao ni wahudumu wa Kristo? (Nanena kiwazimu), mimi ni zaidi; katika taabu kuzidi sana; katika vifungo kuzidi sana; katika mapigo kupita kiasi; katika mauti mara nyingi.
wengine walijaribiwa kwa dhihaka na mapigo, naam, kwa minyororo, na kwa kutiwa gerezani;
Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji la uzima.