Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Matendo 4:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC alikuwa na shamba akaliuza, akaileta fedha, akaiweka miguuni pa mitume. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeye pia alikuwa na shamba lake, akaliuza; akazichukua zile fedha, akawakabidhi mitume. Biblia Habari Njema - BHND Yeye pia alikuwa na shamba lake, akaliuza; akazichukua zile fedha, akawakabidhi mitume. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeye pia alikuwa na shamba lake, akaliuza; akazichukua zile fedha, akawakabidhi mitume. Neno: Bibilia Takatifu aliuza shamba alilokuwa nalo, akaleta hizo fedha alizopata na kuziweka miguuni pa mitume. Neno: Maandiko Matakatifu aliuza shamba alilokuwa nalo, akaleta hizo fedha alizopata na kuziweka miguuni pa mitume. BIBLIA KISWAHILI alikuwa na shamba akaliuza, akaileta fedha, akaiweka miguuni pa mitume. |
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.