wakiuza mali zao, na vitu vyao walivyokuwa navyo, na kuwagawia watu wote kulingana na haja ya kila mmoja.
Matendo 4:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC wakaiweka miguuni pa mitume; kila mtu akagawiwa kwa kadiri ya alivyohitaji. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na kuwakabidhi mitume fedha hizo, zikagawiwa kila mmoja kadiri ya mahitaji yake. Biblia Habari Njema - BHND na kuwakabidhi mitume fedha hizo, zikagawiwa kila mmoja kadiri ya mahitaji yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na kuwakabidhi mitume fedha hizo, zikagawiwa kila mmoja kadiri ya mahitaji yake. Neno: Bibilia Takatifu wakaiweka miguuni pa mitume, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake. Neno: Maandiko Matakatifu wakaiweka miguuni pa mitume, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake. BIBLIA KISWAHILI wakaiweka miguuni pa mitume; kila mtu akagawiwa kwa kadiri ya alivyohitaji. |
wakiuza mali zao, na vitu vyao walivyokuwa navyo, na kuwagawia watu wote kulingana na haja ya kila mmoja.
Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.
akihifadhi kwa siri sehemu ya thamani yake, mkewe naye akijua haya, akaleta fungu moja akaliweka miguuni pa mitume.