Bali mimi nawaambieni, Kila amkasirikiaye ndugu yake itampasa hukumu; na mtu akimtusi ndugu yake, anastahili kuhukumiwa na baraza; na mtu akimwambia nduguye, Ewe mpumbavu, anastahili kuingia katika moto wa Jehanamu.
Matendo 4:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakashauriana wao kwa wao, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha. Biblia Habari Njema - BHND Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha. Neno: Bibilia Takatifu Wakawaamuru watoke nje ya Baraza la Wayahudi, ili wasemezane jambo hilo wao wenyewe. Neno: Maandiko Matakatifu Wakawaamuru watoke nje ya Baraza la Wayahudi wakati wakisemezana jambo hilo wao kwa wao. BIBLIA KISWAHILI Wakawaamuru kutoka katika baraza, wakashauriana wao kwa wao, |