Matendo 3:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mtu huyu akiwaona Petro na Yohana wakiingia hekaluni aliomba apewe sadaka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alipowaona Petro na Yohane wakiingia hekaluni, aliwaomba wampe chochote. Biblia Habari Njema - BHND Alipowaona Petro na Yohane wakiingia hekaluni, aliwaomba wampe chochote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alipowaona Petro na Yohane wakiingia hekaluni, aliwaomba wampe chochote. Neno: Bibilia Takatifu Huyu mtu alipowaona Petro na Yohana wakikaribia kuingia Hekaluni, akawaomba wampe sadaka. Neno: Maandiko Matakatifu Huyu mtu alipowaona Petro na Yohana wakikaribia kuingia Hekaluni, akawaomba wampe sadaka. BIBLIA KISWAHILI Mtu huyu akiwaona Petro na Yohana wakiingia hekaluni aliomba apewe sadaka. |
Basi alipokuwa akiwashika Petro na Yohana, watu wote wakawakusanyikia mbio katika tao lile lililoitwa tao la Sulemani, wakishangaa sana.