Matendo 28:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini yeye akamtukusia motoni asipate madhara. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Paulo alikikungutia kile kiumbe motoni na hakuumizwa hata kidogo. Biblia Habari Njema - BHND Lakini Paulo alikikungutia kile kiumbe motoni na hakuumizwa hata kidogo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Paulo alikikung'utia kile kiumbe motoni na hakuumizwa hata kidogo. Neno: Bibilia Takatifu Lakini Paulo akamkung’utia yule nyoka ndani ya moto wala yeye hakupata madhara yoyote. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini Paulo akamkung’utia yule nyoka ndani ya moto wala yeye hakupata madhara yoyote. BIBLIA KISWAHILI Lakini yeye akamtukusia motoni asipate madhara. |
watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kuua, hakitawadhuru kamwe; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapona.
Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
Wao wakadhani ya kuwa atavimba au kuanguka chini kwa kufa ghafla; na wakiisha kumwangalia sana, na kuona kwamba halimpati dhara lolote, wakageuka, wakasema kwamba yeye ni mungu.
Naye Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]