Tulipomaliza safari yetu kutoka Tiro tukafika Tolemai, tukawaamkua ndugu tukakaa kwao siku moja.
Matendo 28:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tukafika Sirakusa, tukakaa siku tatu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tulifika katika mji wa Sirakusa, tukakaa hapo kwa siku tatu. Biblia Habari Njema - BHND Tulifika katika mji wa Sirakusa, tukakaa hapo kwa siku tatu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tulifika katika mji wa Sirakusa, tukakaa hapo kwa siku tatu. Neno: Bibilia Takatifu Kituo chetu cha kwanza kilikuwa Sirakusa na tukakaa huko siku tatu. Neno: Maandiko Matakatifu Kituo chetu cha kwanza kilikuwa Sirakusa na tukakaa huko siku tatu. BIBLIA KISWAHILI Tukafika Sirakusa, tukakaa siku tatu. |
Tulipomaliza safari yetu kutoka Tiro tukafika Tolemai, tukawaamkua ndugu tukakaa kwao siku moja.
Tukapanda katika merikebu ya Adramitio iliyokuwa tayari kusafiri mpaka miji ya pwani za Asia, tukatweka; Aristarko, Mmakedonia wa Thesalonike, akiwa pamoja nasi.
Baada ya miezi mitatu tukasafiri katika merikebu ya Aleksandria iliyokuwa imekaa pale kisiwani wakati wa baridi; na alama yake ni Ndugu Pacha.
Kutoka huko tukazunguka tukafikia Regio; baada ya siku moja upepo wa kusi ukavuma, na siku ya pili tukawasili Puteoli.