Matendo 27:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo wakachangamka wote, wakala chakula wenyewe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula. Biblia Habari Njema - BHND Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo wote wakatiwa moyo, wakaanza kula chakula. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo wote wakatiwa moyo, wakaanza kula chakula. BIBLIA KISWAHILI Ndipo wakachangamka wote, wakala chakula wenyewe. |
Sasa nawapeni shauri, iweni na moyo mkuu, kwa maana hapana hata nafsi mmoja miongoni mwenu atakayepotea, ila merikebu tu.
Basi, wanaume, changamkeni; kwa sababu namwamini Mungu, ya kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa.