Walipokwisha kuikweza wakatumia misaada, wakaikaza merikebu kwa kupitisha kamba chini yake, nao wakiogopa wasije wakakwama katika fungu liitwalo Sirti, wakatua matanga wakachukuliwa vivi hivi.
Matendo 27:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini hatuna budi kupwelewa katika kisiwa kimoja. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini ni lazima tutatupwa ufukoni mwa kisiwa fulani.” Biblia Habari Njema - BHND Lakini ni lazima tutatupwa ufukoni mwa kisiwa fulani.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini ni lazima tutatupwa ufukoni mwa kisiwa fulani.” Neno: Bibilia Takatifu Lakini hata hivyo meli yetu itakwama kwenye kisiwa fulani.” Neno: Maandiko Matakatifu Lakini hata hivyo meli yetu itakwama kwenye kisiwa fulani.” BIBLIA KISWAHILI Lakini hatuna budi kupwelewa katika kisiwa kimoja. |
Walipokwisha kuikweza wakatumia misaada, wakaikaza merikebu kwa kupitisha kamba chini yake, nao wakiogopa wasije wakakwama katika fungu liitwalo Sirti, wakatua matanga wakachukuliwa vivi hivi.
Hata usiku wa kumi na nne ulipofika, tulipokuwa tukichukuliwa huku na huko katika bahari ya Adria, kama usiku wa manane baharia wakadhani ya kuwa wanaikaribia nchi kavu.
Wakachelea tusije tukapwelewa mahali penye miamba, wakatupa nanga nne za tezi, wakaomba kuche.