Kwa maana mfalme anajua habari za mambo haya, nami naweza kusema naye kwa ujasiri, kwa sababu najua sana ya kuwa hapana neno moja katika hayo asilolijua; kwa maana jambo hilo halikutendeka pembeni.
Matendo 26:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mfalme Agripa, je! Wawaamini manabii? Najua ya kuwa wawaamini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mfalme Agripa, je, una imani na manabii? Najua kwamba unaamini.” Biblia Habari Njema - BHND Mfalme Agripa, je, una imani na manabii? Najua kwamba unaamini.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mfalme Agripa, je, una imani na manabii? Najua kwamba unaamini.” Neno: Bibilia Takatifu Mfalme Agripa, je, unaamini manabii? Najua kuwa unaamini.” Neno: Maandiko Matakatifu Mfalme Agripa, je, unaamini manabii? Najua kuwa unaamini.” BIBLIA KISWAHILI Mfalme Agripa, je! Wawaamini manabii? Najua ya kuwa wawaamini. |
Kwa maana mfalme anajua habari za mambo haya, nami naweza kusema naye kwa ujasiri, kwa sababu najua sana ya kuwa hapana neno moja katika hayo asilolijua; kwa maana jambo hilo halikutendeka pembeni.