Matendo 24:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini nisikuudhi zaidi, nakusihi utusikilize maneno machache kwa fadhili zako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini, bila kupoteza wakati wako zaidi, tunakusihi kwa wema wako, usikilize taarifa yetu fupi. Biblia Habari Njema - BHND Lakini, bila kupoteza wakati wako zaidi, tunakusihi kwa wema wako, usikilize taarifa yetu fupi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini, bila kupoteza wakati wako zaidi, tunakusihi kwa wema wako, usikilize taarifa yetu fupi. Neno: Bibilia Takatifu Lakini nisije nikakuchosha zaidi, ningekuomba kwa hisani yako utusikilize kwa kifupi. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini nisije nikakuchosha zaidi, ningekuomba kwa hisani yako utusikilize kwa kifupi. BIBLIA KISWAHILI Lakini nisikuudhi zaidi, nakusihi utusikilize maneno machache kwa fadhili zako. |
Kwa maana tumemwona mtu huyu kuwa mkorofi, mwanzilishi wa fitina katika Wayahudi wote duniani, tena ni kichwa cha madhehebu ya Wanazareti.
ya kwamba kwa kufunuliwa nilijulishwa siri hiyo, kama nilivyotangulia kuandika kwa maneno machache.
Nami niseme nini tena? Maana wakati usingenitosha kuleta habari za Gideoni na Baraka na Samsoni na Yeftha na Daudi na Samweli na za manabii;