Naye alipokuwa katika lango la Benyamini, mkuu wa walinzi alikuwapo, jina lake Iriya, mwana wa Shelemia, mwana wa Hanania; akamkamata Yeremia, nabii, akisema, Unakwenda kujiunga na Wakaldayo.
Matendo 24:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wala hawawezi kuyahakikisha mambo haya wanayonishitaki sasa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu. Biblia Habari Njema - BHND Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu. Neno: Bibilia Takatifu Wala hawawezi kabisa kukuthibitishia mashtaka haya wanayoleta dhidi yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Wala hawawezi kabisa kukuthibitishia mashtaka haya wanayonishtaki kwayo. BIBLIA KISWAHILI Wala hawawezi kuyahakikisha mambo haya wanayonishitaki sasa. |
Naye alipokuwa katika lango la Benyamini, mkuu wa walinzi alikuwapo, jina lake Iriya, mwana wa Shelemia, mwana wa Hanania; akamkamata Yeremia, nabii, akisema, Unakwenda kujiunga na Wakaldayo.
Ndipo wale watu wakasema, Hatutapata sababu ya kumshitaki Danieli huyo, tusipoipata katika mambo ya sheria ya Mungu wake.
Alipokuja, wale Wayahudi walioshuka kutoka Yerusalemu wakasimama karibu naye wakaleta mashitaka mengi mazito juu yake, wasiyoweza kuyayakinisha.
Nanyi muwe na dhamiri njema, ili katika neno lile mnalosingiziwa, watahayarishwe wale wautukanao mwenendo wenu mwema katika Kristo.