Matendo 23:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wale walipofika Kaisaria, na kumpa mtawala ile barua, wakamweka Paulo mbele yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipofika Kaisarea walimpa mkuu wa mkoa ile barua na kumweka Paulo chini ya mamlaka yake. Biblia Habari Njema - BHND Walipofika Kaisarea walimpa mkuu wa mkoa ile barua na kumweka Paulo chini ya mamlaka yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipofika Kaisarea walimpa mkuu wa mkoa ile barua na kumweka Paulo chini ya mamlaka yake. Neno: Bibilia Takatifu Askari walipofika Kaisaria, walimpa mtawala ile barua, na kumkabidhi Paulo kwake. Neno: Maandiko Matakatifu Askari walipofika Kaisaria, walimpa mtawala ile barua, na kumkabidhi Paulo kwake. BIBLIA KISWAHILI Na wale walipofika Kaisaria, na kumpa mtawala ile barua, wakamweka Paulo mbele yake. |
Baada ya siku tano, Anania, Kuhani Mkuu, akateremka na baadhi ya wazee pamoja naye, na msemi mmoja, Tertulo, nao wakamweleza mtawala habari za Paulo.
Na walipokaa huko siku kadhaa, Festo akamweleza mfalme habari za Paulo, akisema, Yupo hapa mtu mmoja aliyeachwa na Feliki kifungoni;
Tulipoingia Rumi Paulo alipewa ruhusa kukaa kwake mwenyewe pamoja na askari aliyemlinda.
Lakini Filipo akaonekana katika Azota, na alipokuwa akipita akahubiri Injili katika miji yote, hadi akafika Kaisaria.