Absalomu alipokuwa akitoa dhabihu alituma Ahithofeli Mgiloni, Mshauri wake Daudi, aitwe kutoka mji wake, yaani, Gilo. Njama zao zikawa na nguvu; maana watu waliokuwa pamoja na Absalomu walizidi kuongezeka.
Matendo 23:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na hao walioapiana hivyo walikuwa zaidi ya watu arubaini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu zaidi ya arubaini ndio waliokula njama kufanya hivyo. Biblia Habari Njema - BHND Watu zaidi ya arubaini ndio waliokula njama kufanya hivyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu zaidi ya arubaini ndio waliokula njama kufanya hivyo. Neno: Bibilia Takatifu Waliofanya mpango huo walikuwa zaidi ya watu arobaini. Neno: Maandiko Matakatifu Waliofanya mpango huo walikuwa zaidi ya watu arobaini. BIBLIA KISWAHILI Na hao walioapiana hivyo walikuwa zaidi ya watu arobaini. |
Absalomu alipokuwa akitoa dhabihu alituma Ahithofeli Mgiloni, Mshauri wake Daudi, aitwe kutoka mji wake, yaani, Gilo. Njama zao zikawa na nguvu; maana watu waliokuwa pamoja na Absalomu walizidi kuongezeka.
Mtu mmoja akamwambia Daudi ya kwamba, Ahithofeli yu katika hao waliopatana na Absalomu; Daudi akasema, Ee BWANA, nakusihi, uugeuze ushauri wa Ahithofeli uwe ubatili.
Watawatenga na masinagogi; naam, saa inakuja kila mtu awauaye atakapodhania ya kuwa anamfanyia Mungu ibada.
Kulipopambazuka, Wayahudi wakafanya mapatano, wakajifunga kwa kiapo kwamba hawatakula wala hawatakunywa hadi wamwue Paulo.
Nao wakaenda kwa wakuu wa makuhani na wazee, wakasema, Tumejifunga kwa kiapo tusionje kitu hata tumwue Paulo.