Basi wakaendelea njiani Daudi na watu wake; Shimei naye akaaendelea juu ya ubavu wa kile kilima, kwa kumkabili, huku akiendelea, akilaani, akimtupia mawe, na kurusha mavumbi.
Matendo 22:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Walipokuwa wakipiga kelele na kutupa mavazi yao na kurusharusha mavumbi juu, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waliendelea kupayukapayuka huku wakitikisa makoti yao na kurusha vumbi angani. Biblia Habari Njema - BHND Waliendelea kupayukapayuka huku wakitikisa makoti yao na kurusha vumbi angani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waliendelea kupayukapayuka huku wakitikisa makoti yao na kurusha vumbi angani. Neno: Bibilia Takatifu Walipokuwa wakipiga kelele na kutoa mavazi yao huku wakirusha mavumbi juu hewani, Neno: Maandiko Matakatifu Walipokuwa wakipiga kelele na kutoa mavazi yao huku wakirusha mavumbi juu hewani, BIBLIA KISWAHILI Walipokuwa wakipiga kelele na kutupa mavazi yao na kurusharusha mavumbi juu, |
Basi wakaendelea njiani Daudi na watu wake; Shimei naye akaaendelea juu ya ubavu wa kile kilima, kwa kumkabili, huku akiendelea, akilaani, akimtupia mawe, na kurusha mavumbi.
Naam, huyo mpumbavu tena, aendapo njiani, hupungukiwa na fahamu zake; hata humwambia kila mtu ya kuwa yeye ni mpumbavu.
Naye alipokuwa akitembea kando ya bahari ya Galilaya, aliona ndugu wawili, Simoni aitwaye Petro, na Andrea nduguye, wakitupa jarife baharini; kwa maana walikuwa wavuvi.
Na mara nyingi katika masinagogi yote niliwaadhibu, nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini.
wakamtoa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyeitwa Sauli.