Matendo 21:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana kundi kubwa la watu wakamfuata, wakipiga kelele, na kusema, Na aondolewe mbali. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa maana watu kundi kubwa walimfuata wakipiga kelele, “Mwulie mbali!” Biblia Habari Njema - BHND Kwa maana watu kundi kubwa walimfuata wakipiga kelele, “Mwulie mbali!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa maana watu kundi kubwa walimfuata wakipiga kelele, “Mwulie mbali!” Neno: Bibilia Takatifu Umati wa watu waliofuata waliendelea kupaza sauti na kusema, “Mwondoe huyu!” Neno: Maandiko Matakatifu Umati wa watu ulikuwa ukifuata ukiendelea kupiga kelele ukisema, “Mwondoe huyu!” BIBLIA KISWAHILI Maana kundi kubwa la watu wakamfuata, wakipiga kelele, na kusema, Na aondolewe mbali. |
Basi wale wakapiga kelele, Mwondoshe! Mwondoshe! Msulubishe! Pilato akawaambia, Je! Nimsulubishe mfalme wenu! Wakuu wa makuhani wakamjibu, Sisi hatuna mfalme ila Kaisari.
Wakamsikiliza mpaka neno lile, wakapaza sauti zao, wakisema, Mwondoe huyu katika nchi, kwa maana haifai aishi.
tukisingiziwa twasihi; tumefanywa kama takataka za dunia, na kuwa duni ya vitu vyote hata sasa.