Na sheria ya Mnadhiri ni hii, zitakapotimia hizo siku za kujitenga kwake; ataletwa mlangoni pa hema ya kukutania;
Matendo 21:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi fanya neno hili tunalokuambia. Wako kwetu watu wanne waliofungwa na nadhiri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri. Biblia Habari Njema - BHND Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo fanya lile tunalokuambia. Tuna watu wanne hapa ambao wameweka nadhiri. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo fanya lile tunalokuambia. Tunao watu wanne hapa ambao wameweka nadhiri. BIBLIA KISWAHILI Basi fanya neno hili tunalokuambia. Wako kwetu watu wanne waliofungwa na nadhiri. |
Na sheria ya Mnadhiri ni hii, zitakapotimia hizo siku za kujitenga kwake; ataletwa mlangoni pa hema ya kukutania;
Naye Mnadhiri atakinyoa kichwa cha kujitenga kwake, mlangoni pa hema ya kukutania, kisha atatwaa hizo nywele za kichwa cha kujitenga kwake, na kuzitia katika moto ulio chini ya dhabihu ya sadaka za amani.
Baada ya hayo Paulo akazidi kukaa huko siku nyingi, kisha akaagana na ndugu akaabiri kwenda Shamu; na Priskila na Akila wakaenda pamoja naye, alipokwisha kunyoa kichwa chake huko Kenkrea; maana alikuwa ana nadhiri.
Nilikuwa kama Myahudi kwa Wayahudi, ili niwapate Wayahudi; kwa wale walio chini ya sheria, nilikuwa kama chini ya sheria, (ingawa mimi mwenyewe siko chini ya sheria), ili niwapate walio chini ya sheria.