Lakini sisi tukatangulia kwenda merikebuni, tukaabiri kwenda Aso, tukikusudia kumpakia Paulo huko; kwa maana ndivyo alivyoagiza, yeye mwenyewe aliazimia kwenda kwa miguu.
Matendo 20:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Alipotufikia huko Aso, tukampakia, kisha tukafika Mitilene. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, alitukuta kule Aso, tukampandisha melini, tukaenda Mitulene. Biblia Habari Njema - BHND Basi, alitukuta kule Aso, tukampandisha melini, tukaenda Mitulene. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, alitukuta kule Aso, tukampandisha melini, tukaenda Mitulene. Neno: Bibilia Takatifu Alipotukuta huko Aso, alijiunga nasi kwenye meli, tukasafiri hadi Mitilene. Neno: Maandiko Matakatifu Alipotukuta huko Aso, tulimpakia melini, tukasafiri wote mpaka Mitilene. BIBLIA KISWAHILI Alipotufikia huko Aso, tukampakia, kisha tukafika Mitilene. |
Lakini sisi tukatangulia kwenda merikebuni, tukaabiri kwenda Aso, tukikusudia kumpakia Paulo huko; kwa maana ndivyo alivyoagiza, yeye mwenyewe aliazimia kwenda kwa miguu.
Tukatweka kutoka huko, na siku ya pili tukafika mahali panapokabili Kio; siku ya tatu tukawasili Samo, tukakaa Trogilio, siku ya nne tukafika Mileto.