Matendo 20:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakamleta yule kijana, akiwa mzima, wakafarijika faraja kubwa sana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wale watu walimchukua yule kijana hadi nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa. Biblia Habari Njema - BHND Wale watu walimchukua yule kijana hadi nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wale watu walimchukua yule kijana hadi nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa. Neno: Bibilia Takatifu Watu wakamrudisha yule kijana nyumbani akiwa hai nao wakafarijika sana. Neno: Maandiko Matakatifu Watu wakamrudisha yule kijana nyumbani akiwa hai nao wakafarijika sana. BIBLIA KISWAHILI Wakamleta yule kijana, akiwa mzima, wakafarijika faraja kubwa sana. |
Akapanda juu tena, akamega mkate, akala, akazidi kuongea nao hadi alfajiri, ndipo akaenda zake.
Lakini sisi tukatangulia kwenda merikebuni, tukaabiri kwenda Aso, tukikusudia kumpakia Paulo huko; kwa maana ndivyo alivyoagiza, yeye mwenyewe aliazimia kwenda kwa miguu.
atufarijiye katika dhiki zetu zote ili nasi tupate kuwafariji wale walio katika dhiki za namna zote, kwa faraja hizo, tunazofarijiwa na Mungu.
ambaye ninamtuma kwenu kwa kusudi lilo hilo mpate kuzijua habari zetu, naye awafariji mioyo yenu.
Tukamtuma Timotheo ndugu yetu, mtumishi wa Mungu katika Injili ya Kristo, ili kuwafanya ninyi imara na kuwafariji katika imani yenu;
Ndugu, tunawasihi, waonyeni wale wasiokaa kwa utaratibu; watieni moyo walio dhaifu; watieni nguvu wanyonge; vumilieni na watu wote.
Na Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe, na Mungu Baba yetu, aliyetupenda akatupa faraja ya milele na tumaini jema, katika neema,