Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Matendo 2:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

yeye mwenyewe akitangulia kuyaona haya, alitaja habari za kufufuka kwake Kristo, ya kwamba roho yake haikuachwa kuzimu, wala mwili wake haukuona uharibifu.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na Mungu na hivyo akasema juu ya ufufuo wa Kristo wakati aliposema: ‘Hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.’

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na Mungu na hivyo akasema juu ya ufufuo wa Kristo wakati aliposema: ‘Hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.’

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na Mungu na hivyo akasema juu ya ufufuo wa Kristo wakati aliposema: ‘Hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.’

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Daudi, akiona mambo yaliyo mbele, akanena kuhusu kufufuka kwa Al-Masihi, kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Daudi, akiona mambo yaliyoko mbele, akanena juu ya kufufuka kwa Al-Masihi, kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

yeye mwenyewe akitangulia kuyaona haya, alitaja habari za kufufuka kwake Kristo, ya kwamba roho yake haikuachwa kuzimu, wala mwili wake haukuona uharibifu.

Tazama sura
Tafsiri zingine

Matendo 2:31
7 Marejeleo ya Msalaba  

Maana hutaitupa kuzimu nafsi yangu, Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu.

Nawe Kapernaumu, je! Utakuzwa mpaka mbinguni? Utashushwa mpaka kuzimu; kwa kuwa kama miujiza iliyofanyika kwako ingalifanyika katika Sodoma, ungalikuwapo mji huo hata leo.

Kwa hiyo anena na pengine, Hutamwachia Mtakatifu wako kuona uharibifu.

Kwa maana hutaiacha roho yangu katika kuzimu; Wala hutamtoa Mtakatifu wako aone uharibifu.

na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo Maandiko;

Na andiko, kwa vile lilivyoona tangu zamani kwamba Mungu atawahesabia haki Mataifa kwa imani, lilimhubiria Abrahamu Habari Njema zamani, kusema, Katika wewe Mataifa yote watabarikiwa.