Basi ikiwa Demetrio na mafundi walio pamoja naye wana neno juu ya mtu yeyote, baraza ziko, na watawala wako; na washitakiane.
Matendo 19:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ikiwa kuna mambo mengine yoyote mnayotaka kujua, ni sharti yasuluhishwe katika kusanyiko lililo halali. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama mna matatizo mengine, yapelekeni katika kikao halali. Biblia Habari Njema - BHND Kama mna matatizo mengine, yapelekeni katika kikao halali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama mna matatizo mengine, yapelekeni katika kikao halali. Neno: Bibilia Takatifu Lakini kama kuna jambo jingine lolote zaidi mnalotaka kulileta, itabidi lisuluhishwe katika kusanyiko halali. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini kama kuna jambo jingine lolote zaidi mnalotaka kulileta, itabidi lisuluhishwe katika kusanyiko halali. BIBLIA KISWAHILI Ikiwa kuna mambo mengine yoyote mnayotaka kujua, ni sharti yasuluhishwe katika kusanyiko lililo halali. |
Basi ikiwa Demetrio na mafundi walio pamoja naye wana neno juu ya mtu yeyote, baraza ziko, na watawala wako; na washitakiane.
Kwa maana tuna hatari ya kushitakiwa kwa ajili ya ghasia hizi za leo, ambazo hazina sababu; maana hakuna sababu tunayoweza kutoa kama chanzo cha ghasia hizi.