Matendo 18:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akawafukuza waondoke mbele ya kiti cha hukumu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, akawafukuza kutoka mahakamani. Biblia Habari Njema - BHND Basi, akawafukuza kutoka mahakamani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, akawafukuza kutoka mahakamani. Neno: Bibilia Takatifu Akawafukuza kutoka mahakamani. Neno: Maandiko Matakatifu Akawafukuza kutoka mahakamani. BIBLIA KISWAHILI Akawafukuza waondoke mbele ya kiti cha hukumu. |
Na alipokuwa ameketi juu ya kiti cha hukumu, mkewe alimpelekea mjumbe, kumwambia, Usiwe na neno na yule mwenye haki; kwa sababu nimeteswa mengi leo katika ndoto kwa ajili yake.
Nao wote wakamshika Sosthene, mkuu wa sinagogi, wakampiga mbele ya kiti cha hukumu. Wala Galio hakuyaona mambo hayo kuwa ni kitu.
Nchi ikamsaidia mwanamke; nchi ikafunua kinywa chake, ikaumeza mto ule lililoutoa lile joka katika kinywa chake.