Matendo 17:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakafadhaisha ule mkutano na wakubwa wa mji walipoyasikia hayo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu. Biblia Habari Njema - BHND Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu. Neno: Bibilia Takatifu Waliposikia haya, umati ule wa watu na maafisa wa mji wakaongeza ghasia. Neno: Maandiko Matakatifu Waliposikia haya, ule umati wa watu na maafisa wa mji wakaongeza ghasia. BIBLIA KISWAHILI Wakafadhaisha ule mkutano na wakubwa wa mji walipoyasikia hayo. |
Na watakapowapeleka ninyi mbele ya masinagogi na watawala na wenye mamlaka, msifadhaike kwa kuwaza maneno yenu jinsi mtakavyojibu au kusema;
Tukimwacha hivi, watu wote watamwamini; na Warumi watakuja, watatuondolea mahali petu na taifa letu.
na Yasoni amewakaribisha; na hawa wote wanatenda mambo yaliyo kinyume cha amri za Kaisari, wakisema na kusema yupo mfalme mwingine, aitwaye Yesu.