Basi waliposikia habari za ufufuo wa wafu wengine walifanya dhihaka; wengine wakasema, Tutakusikiliza tena kuhusu habari hiyo.
Matendo 17:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi hivi Paulo akaondoka akawaacha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hivyo, Paulo aliwaacha, akatoka barazani. Biblia Habari Njema - BHND Hivyo, Paulo aliwaacha, akatoka barazani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hivyo, Paulo aliwaacha, akatoka barazani. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo Paulo akaondoka katikati yao. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo Paulo akaondoka katikati yao. BIBLIA KISWAHILI Basi hivi Paulo akaondoka akawaacha. |
Basi waliposikia habari za ufufuo wa wafu wengine walifanya dhihaka; wengine wakasema, Tutakusikiliza tena kuhusu habari hiyo.
Baadhi ya watu wakaungana naye, wakaamini; katika hao alikuwamo Dionisio, Mwareopago, na mwanamke mmoja jina lake Damari, na watu wengine pamoja na hao.