Matendo 15:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini Sila akaona vema kukaa huko.] Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Sila aliamua kubaki.] Biblia Habari Njema - BHND Lakini Sila aliamua kubaki.] Neno: Bibilia Takatifu Lakini Sila bado akaendelea kukaa huko.] Neno: Maandiko Matakatifu Lakini Sila bado akaendelea kukaa huko.] BIBLIA KISWAHILI Lakini Sila akaona vema kukaa huko.] |
Na wakiisha kukaa huko muda, wakaruhusiwa na ndugu waende kwa amani kwa hao waliowatuma. [
Na Paulo na Barnaba wakakaa huko Antiokia, wakifundisha na kulihubiri neno la Bwana, pamoja na watu wengine wengi.
Na alipotaka kuvuka bahari aende mpaka Akaya, ndugu wakamhimiza, wakawaandikia wale wanafunzi wamkaribishe, naye alipofika akawasaidia sana wale waliokwisha kuamini kwa neema ya Mungu.
Lakini kuhusu Apolo, ndugu yetu, nilimsihi sana aje kwenu pamoja na hao ndugu; ambaye si mapenzi yake kwenda sasa; lakini atakuja atakapopata nafasi.