Lakini Wayahudi wakawachochea wanawake watauwa wenye cheo na wakuu wa mji, wakawataharakisha watu wawaudhi Paulo na Barnaba; wakawatoa katika mipaka yao.
Matendo 15:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC watu waliohatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Biblia Habari Njema - BHND ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Neno: Bibilia Takatifu watu ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Isa Al-Masihi. Neno: Maandiko Matakatifu watu ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Isa Al-Masihi. BIBLIA KISWAHILI watu waliohatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo. |
Lakini Wayahudi wakawachochea wanawake watauwa wenye cheo na wakuu wa mji, wakawataharakisha watu wawaudhi Paulo na Barnaba; wakawatoa katika mipaka yao.
Lakini Wayahudi wakafika toka Antiokia na Ikonio, wakawashawishi makutano hata wakampiga kwa mawe Paulo, wakamburuta nje ya mji, wakidhania ya kuwa amekwisha kufa.
waliokuwa tayari hata kukatwa kichwa kwa ajili ya maisha yangu; ambao ninawashukuru, wala si mimi tu, ila na makanisa ya Mataifa yote pia; nisalimieni na kanisa lililomo katika nyumba yao.
Zabuloni ndio watu waliohatarisha roho zao hadi kufa; Nao Naftali mahali palipoinuka kondeni.