Matendo 15:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na maneno ya manabii yapatana na hayo, kama ilivyoandikwa, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jambo hili ni sawa kabisa na maneno ya manabii, kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: Biblia Habari Njema - BHND Jambo hili ni sawa kabisa na maneno ya manabii, kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jambo hili ni sawa kabisa na maneno ya manabii, kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: Neno: Bibilia Takatifu Maneno ya manabii yanakubaliana na jambo hili, kama ilivyoandikwa: Neno: Maandiko Matakatifu Maneno ya manabii yanakubaliana na jambo hili, kama ilivyoandikwa: BIBLIA KISWAHILI Na maneno ya manabii yapatana na hayo, kama ilivyoandikwa, |
Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.
Baada ya mambo haya nitarejea, Nami nitaijenga tena nyumba ya Daudi iliyoanguka. Nitajenga tena maanguko yake, Nami nitaisimamisha;