Matendo 14:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na baada ya kuhubiri lile neno katika Perge wakateremka mpaka Atalia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya kuhubiri ule ujumbe huko Perga, walikwenda Atalia. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya kuhubiri ule ujumbe huko Perga, walikwenda Atalia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya kuhubiri ule ujumbe huko Perga, walikwenda Atalia. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya kuhubiri neno la Mungu huko Perga, wakateremkia Atalia. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya kuhubiri neno la Mungu huko Perga, wakateremkia Atalia. BIBLIA KISWAHILI Na baada ya kuhubiri lile neno katika Perge wakateremka mpaka Atalia. |
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Kisha Paulo na wenziwe wakang'oa nanga wakasafiri kutoka Pafo, wakafika Perge katika Pamfilia. Yohana akawaacha akarejea Yerusalemu.
kwa nguvu za ishara na maajabu, katika nguvu za Roho Mtakatifu; hata ikawa tangu Yerusalemu, na kandokando yake, mpaka Iliriko nimekwisha kuihubiri Injili ya Kristo kwa utimilifu;