Matendo 13:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Bali huyu aliyefufuliwa na Mungu hakuona uharibifu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka wafu hakupata kuoza. Biblia Habari Njema - BHND Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka wafu hakupata kuoza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka wafu hakupata kuoza. Neno: Bibilia Takatifu Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu hakuona uharibifu. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu hakuona uharibifu. BIBLIA KISWAHILI Bali huyu aliyefufuliwa na Mungu hakuona uharibifu. |
ya kwamba Mungu amewatimizia watoto wetu ahadi hiyo, kwa kumfufua Yesu; kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili, Wewe ndiwe Mwanangu, mimi leo nimekuzaa.
ambaye Mungu alimfufua, akiufungua uchungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.
Kwa maana hutaiacha roho yangu katika kuzimu; Wala hutamtoa Mtakatifu wako aone uharibifu.